Home
Unlabelled
Mzee Hozza na kundi lake la matarumbeta la Mount Usambara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzazi: Mwanangu karibu tena nyumbani, imekuwa miaka mingi sana hatujaonana, habari za masiku,na za mjini?
ReplyDeleteMwana: Nashukuru sana baba. Mimi simbao na mjini ni kwema tu. Nimefurahi kuja kuwasalimia, imekuwa muda mrefu kwa kweli. Haya, habari za nyumbani?
Mzazi: Tupo tu. Miguu tu hii. Haya, mnatunyima nini mjini?
Mwana: Mambo ya kimjini tu, zaidi ya hapo hakuna lolote baba.
Mzazi: Hivi unajishughulisha na nini hasa huko.
Mwana: Muda wote huu nimekuwa nikipiga tarumbeta baba.
Mzee: Ama!
Mzee Hoza namkubali,ndie mwanziishi wa mataruumbeta kwenye maharusi na sherehe,hazeeki huyu...toka miaka kama 20 iliyopita mpaka leo na bado anatisha..duuuhhhh!!!
ReplyDelete