Home
Unlabelled
Naibu Waziri Nishati na Madini akutana na Jaji Mark Bomani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhe. jaji Mark Bomani,
ReplyDeleteKazi yako inajulikana na nia yako ni njema juu ya hatma ya Wananchi wa Tanzania na Taifa letu.
Kilichobaki ili kuwamilikisha Wananchi kwa rasilimali zetu na kutokomeza Umasikini pamoja na Ukuaji wa Uchumi uakisi kuamka kwa hali za watu na kwenda na MDGs (Millenium Development Goals)
Mambo haya hapa chini ni muhimu:
-----------------------------------
1.(Hifadhi za Jamii:NSSF,PSPF,LAPF,GEPF)
-----------------------------------
KUIMARISHA SHIRIKA LA HIFADHI YA JAMII NA KUWAFIKIA WANANCHI WOTE WA TANZANIA.
-----------------------------------
2.(Uhakiki wa Vitambulisho vya Raia na Watu:NIDA)
-----------------------------------
SUALA LA VITAMBULISHO VYA TAIFA PAMOJA NA MFUMO KAMILI WA E-GOVERNMENT PORTAL HADI NGAZI ZA CHINI ZA MITAA.
-----------------------------------
3.(Mitaji na Mfumo wa Masoko ya Hisa)
-----------------------------------
KUZIINGIZA RASILIMALI ZETU ,GAS,URANIUM,TANZANITES,GOLD,DIAMONDS,NICKEL,STEEL,COPPER, NA ZINGINEZO ZIWE KTK MFUMO WA MITAJI(CAPITAL) NA MASOKO YA HISA(STOCK EXCHANGE), HUKU KUKIWA NA UDHIBITI WA VITAMBULISHO NA UHAKIKI WA WANANCHI KWA KUPITIA HIFAHDI YA JAMII ILI ZIWEZE KUWAFIKIA NA KUMILIKIWA NA WANANCHI.
Hapo kwa hatua tatu (3) kwa uhakika zaidi ndio Ukuaji wa Uchumi kupitia mavuno ya Rasilimali za nchi zitaakisi kuwafikia wananchi.