Basi aina ya Coaster lililokuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela likiwa nyaka nyaka Muda mfupi baada ya kupata Ajali mbaya sana iliyotokea katika eneo la Mzalendo, kilomita chache toka Mbeya mjini.watu 13 wamefariki Dunia papo hapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya.
Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni ya barabara muda mfupi baada ya ajali hiyo kutokea katika eneo hilo la Mzaleondo.
Mmoja wa majeruhi akiwa katika Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya baada ya kupatiwa matibabu
Baadhi ya Ndugu,jamaa na marafiki waliofika kwenye Hospitali ya Rufaa Mbeya wakiwa nje ya Chumba cha Kuhifadhia maiti kwa ajili ya kuwatambua ndugu zao muda mchache uliopita.
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya.Picha zote na Mbeya Yetu Blog.



.jpg)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...