Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Haruna Lipumba (kulia) akiongea na waandishi wa habari mapema leo kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya mwaka 2012/13.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Haruna Lipumba (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya 2012/13 .kushoto ni Mwingine ni Naibu Mkurugenzi wa Mipango , Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF) Shaweji Mketo.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2012

    Prof tafuta research ufanye achana na siasa maana mwaka wa 10 huu huna kitu!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2012

    Kwa nini hapa nchini pasiwe na Jopo la Wanauchumi Waandamizi bila kujali itikadi za Vyama ili kushiriki ktk masuala nyeti kama Bajeti?

    KAMA TUNAVYOONA BAJETI INAJADILIWA NA UNAKUTA WANAOTOA MAONI YAO YANGEFAA YAWEKWE NDANI YA HIYO BAJETI BADALA YA KUIKOSOA BAADA YA KUWASILISHWA.

    INAWEZEKANA TUKAFANIKIWA KAMA TUTACHUKUA MWELEKEO HUO!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2012

    Watu wa Serikali wamsikilize kwa makini huyu ni mzoefu na ni mchumi wa kimataifa, anatoa ushauri wa bure maana namna nyingine ilibidi serikali ilipe "fees for consultation", msomi huyu katika fani hiyo, wachukulie maanani na walekebishe walichokosea mara moja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...