Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Haruna Lipumba (kulia) akiongea na waandishi wa habari mapema leo kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya mwaka 2012/13.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Haruna Lipumba (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya 2012/13 .kushoto ni Mwingine ni Naibu Mkurugenzi wa Mipango , Uchaguzi na Bunge wa Chama cha Wananchi (CUF) Shaweji Mketo.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma.




Prof tafuta research ufanye achana na siasa maana mwaka wa 10 huu huna kitu!!
ReplyDeleteKwa nini hapa nchini pasiwe na Jopo la Wanauchumi Waandamizi bila kujali itikadi za Vyama ili kushiriki ktk masuala nyeti kama Bajeti?
ReplyDeleteKAMA TUNAVYOONA BAJETI INAJADILIWA NA UNAKUTA WANAOTOA MAONI YAO YANGEFAA YAWEKWE NDANI YA HIYO BAJETI BADALA YA KUIKOSOA BAADA YA KUWASILISHWA.
INAWEZEKANA TUKAFANIKIWA KAMA TUTACHUKUA MWELEKEO HUO!
Watu wa Serikali wamsikilize kwa makini huyu ni mzoefu na ni mchumi wa kimataifa, anatoa ushauri wa bure maana namna nyingine ilibidi serikali ilipe "fees for consultation", msomi huyu katika fani hiyo, wachukulie maanani na walekebishe walichokosea mara moja.
ReplyDelete