FAMILIA YA VALENTINE KARUGABA WA DAR ES SALAAM, TUNATOA SHUKRANI ZETU ZA DHATI KWA WOTE WALIOSHIRIKIANA NASI KWA HALI NA MALI KATIKA MSIBA WA MPENDWA MAMA YETU THEOPISTA KARUGABA ALIYEFARIKI DUNIA TAREHE 11 JUNE 2012 NA KUZIKWA TAREHE 14 JUNE 2012 DAR ES SALAAM.
SI RAHISI KUTAJA MAJINA YA WOTE WALIOTUFARIJI NA WANAOENDELEA KUTUFARIJI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA WA MPENDWA WETU, SHUKRANI ZA PEKEE ZIWAENDEE NDUGU WA PANDE ZOTE, MAJINANI NA MARAFIKI.
MUNGU ATAWALIPA YALIYO MEMA.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU THEOPISTA KARUGABA MAHALI PEMA
PEPONI. AMINA.
Valentine, mes condoleances pour le deces de ton epouse. Que son ame repose en paix. Amin. Ahmed I.
ReplyDeleteAmina..Poleni sana familia
ReplyDelete