Spika wa Bunge Makinda akifungua rasmi semina iliyoandaliwa na Chama Cha Majaji wanawake Tanzania kwa baadhi ya Majaji wanawake na Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala katika Hotel ya St. Gasper Dodoma leo.
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakimsikiliza Mgeni rasmi Mhe. Spika.
Mhe Spika akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wote wa Semina.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...