Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo za Chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA Bw. Masod Saanane akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam na kutangaza majina ya wanamichezo wataowania tuzo za \wanamichezo bora. Kulia ni katibu mkuu wa TASWA Amir Mhando. Kupata orodha yote ya wanamichezo wataowania tuzo BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...