Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lililopo Tunguu, katika Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo Tume ya Taifa Sayansi na Teknolojia (COSTECH) na Tume ya Taifa ya Nguvu za Mionzi (TAEC) zimefungua matawi yake hapo.
Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Tawi la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mh. Balozi Seif Idd akiwa pamoja na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof. Makame Mbarawa pamoja na Waajiriwa wa COSTECH Bara na Visiwani.Tume hiyo ilifungua jengo lake Jumatatu,tarehe 11/06/2012.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...