Rais wa Tanganyika Law Society(TLS) Mh. Fransis Sitola (wa pili kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na haki za Binadamu(LHRC)Dk Hellen Kijo Bisimba na mawakili mbalimbali wakiwa nje ya Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu baada ya kutoka Mahakamani mjini Arusha leo kusikiliza kesi waliyoifungua dhidi ya serikali ya kupinga uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kupinga mgombea binafsi.
Home
Unlabelled
uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kupinga mgombea binafsi wapingwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Huu ni wakati muafaka. hongera sana. Sio watanzania wote tunaamini vyama vya siasa. Sheria inaruhusu kila mtanzania kugombea nafasi ya uongozi. Mgombea binafsi atawezesha watanzania wengi zaidi kugombea uongozi bila kubeba kashfa za vyama mbalimbali. Chaguzi ndogo zitapungua sana kukiwa na independent candidates. Hii ndio demokrasia ya kweli.
ReplyDelete