Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wakuu wa Vyuo Vikuu vya China, Dk.Jiang Bo,wakati ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa Wakuu wa Vyuo Vikuu vya China, unaongozwa na Dk.Jiang Bo,(wa tatu kushoto) wakati ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais na kuzumza nao leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...