Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizindua Gari aina ya LAND CRUISEL ambalo limetolewa na Ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika[AFDB]hii ni gari ya pili ya Mradi ya Kuboresha Shughuli za Uvuvi na Mazingira katika Ziwa Tanganyika kulia Mratibu wa Mradi Dk Hadson Nkotagu,Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Bi Magdalena Mtenga.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akimkabidhi Dk Hadson Nkotagu Gari aina ya Land Cruisel la Mradi wa Ziwa Tanganyika ambalolimetolewa Chini ya Ufadhili wa Banki ya Maendeleo ya Afrika[AFDB] hii ni gari ya pili ambayo imetolewa kwa shughuli za Mradi kuboresha Uvuvi katika Mwambao wa Ziwa Tanganyika,Mikoa ya Kigoma,Rukwa na Katavi Shughuli hiyo imefanyika Ofisini kwa makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja].

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...