Add 
Yanga kids mwaka 1972 na kocha wao Mzee Kwala (kushoto)
 Yanga Kids ya miaka ya 1972 wakiwa na wazee Kitwana Manara 'Popat' na Ramadhani Kilambo
 Veteran wa Yanga Kids wakiwa na mwenzao Kassim Manara (mbele shoto) ambaye karudi likizo nyumbani baada ya kuwa ughaibuni kwa miaka 25
Veteran wa Yanga  toka shoto Saad Mateo, Athumani Kilambo na Kitwana Manara na Mzee Nyumbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2012

    yaani Michu hii imetoka safi sana , hapa kama hatujifunzi ,kwamba miaka inapita kama upepo na miaka inatubadilisha kila kukicha .Swali la kujiuliza je ? ni wangapi katika hao yanga kids ambao leo ni mababu, wameifanyia nini miaka yao ???? Zebedayo,msema kweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2012

    Bab kubwa inapendeza, kweli Manala ni mtu mkubwa bongo,wanakuchezea tu Wabelgium hapa Antwerp rudi kaka tukupe timu ya taifa uiongoze, kwene maziwa na Asali (Luckson Antwerp.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...