Ankal, hata na sisi hapa Nizhny Novgorod,nchini Urusi,tunamuunga mkono mjomba kikwete kwa mazoezi.
 Timu yetu
Hapa tunataka kukipiga na jamaa wa huku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. huko Urusi hakuna viwanja vinavyoeleweka? Inanikumbusha kiwanja cha chuma pale msasani mwisho

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2012

    rudini bongo tu ndugu zangu..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2012

    wabongo kwa ubishi siwawezagi sasa huko nako mnafanyaga nini wajemeni baridi lote hilo mwe!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2012

    Kumbe hata urusi kuna wabongo?? Kweli mna roho ngumu. Hongereni sana!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2012

    Mbona hawajasema siku hiyo ya mechi iliyochezwa mwezi Mei, 2012 waTz walifungwa ngapi? Mechi ilikuwa ni kati ya WaTz na Waarabu. Turushieni matokeo tujue mliaibikaje!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2012

    Mnakipiga kwenye Uwanja wa Zege!!!!!! Mbona mnahatarisha usalama wenu???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2012

    Urusi hiyooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...