Home
Unlabelled
wadau urusi katika tizi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huko Urusi hakuna viwanja vinavyoeleweka? Inanikumbusha kiwanja cha chuma pale msasani mwisho
ReplyDeleterudini bongo tu ndugu zangu..
ReplyDeletewabongo kwa ubishi siwawezagi sasa huko nako mnafanyaga nini wajemeni baridi lote hilo mwe!
ReplyDeleteKumbe hata urusi kuna wabongo?? Kweli mna roho ngumu. Hongereni sana!!
ReplyDeleteMbona hawajasema siku hiyo ya mechi iliyochezwa mwezi Mei, 2012 waTz walifungwa ngapi? Mechi ilikuwa ni kati ya WaTz na Waarabu. Turushieni matokeo tujue mliaibikaje!
ReplyDeleteMnakipiga kwenye Uwanja wa Zege!!!!!! Mbona mnahatarisha usalama wenu???
ReplyDeleteUrusi hiyooo!
ReplyDelete