Waandesha pikipiki za kubeba abiria a.k.a wazee wa Bodaboda wakiwa katika Kituo cha Polisi, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam baada ya kuwapeleka watu ambao wanawatuhumu kuwa ni miongoni mwa kundi linalojihusisha na uporaji pikipiki zao maeneo ya Mtoni Mtongani.
Mmoja wa waendesha pikipili kama alivyokutwa na kamera ya blogu hii leo asubuhi.Picha na Nathan Mpakangala wa Komic First Blog..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2012

    poa sana kamateni wezi hao wanaopenda vya bure

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...