Mkurugenzi wa Jumuiya ya Utamaduni ya Irani sheikh Abulfadhili akitoa maelezo mafupi kuhusiana na madhumuni ya mashindano yalioshirikisha Wanafunzi kutoka Skuli ya Lumumba,Benmbela,Hailesalasie,Kiponda na Bilal Islamic waliojadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.
Mwanafunzi kutoka katika Skuli ya Kiponda Saleh Ali Saleh akijibu maswali mbalimbali alioulizwa katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Sekondary Khadija Ali Mohd akitoa hotuba ya kuwapongeza Wanafumzi walioshiriki katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.
Wanafunzi kutoka katika Skuli ya Lumumba,Benmbela,Hailesalasie,Kiponda na Bilal Islamic wakishiriki katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2012

    Huyu anaitwa Khadija Ali Mohd au Khadija Ali Mohammed/Mohamed? Naomba ufafanuzi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2012

    inakuhusu nini wewe kutaka kumjua

    bibi umependeza mashallah

    new york

    ReplyDelete
  3. Muulizaji wa mwanzo hapo juu, Mara nyingi watu wa Zanzibar wenye jina la Mohammed/Mohamed kama ulivyoandika hapo, basi kwa mkato/kifupi, unakuta wanaandika Moh'd ikimaanisha hiyo Mohammed/Mohamed. Hiyo ya Bi Khadija imekosa hiyo alama ya mkato tu hapo, lakini bado ndio ufipisho huo huo wa jina hilo la Mohammed/Mohamed.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...