Washindi wa Tuzo za Excel With Grand Malt kwa vyuo vya Elimu ya Juu mkoani Kilimanjaro (Chuo cha Ushirika na Chuo cha Kumbukumbu ya Mt. Stefano) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi kwenye utoaji wa Tuzo hizo,Kaimu Katibu Tawala wa Halmashauri ya mji wa Moshi,Bi. Ruth Malisa (wa sita kutoka kulia walio mstari wa nyuma) na Meneja wa kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt ambao ndio wadhamini wakuu wa Mashindano hayo,Bi. Consolata Adam (katikati waliosimama mstari nyuma) huku wakionyesha zawadi zao walizoshinda wakati wa Sherehe za utoaji wa tuzo hizo zilifanyika kwenye viwanja vya Hindu Mandal,Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
 Mmoja wa washindi wa Tuzo za Excel With Grand Malt kutoka chuo cha Kumbukumbu ya Mt. Stefano akionekana kutoamini anachokiona mbele yake baada ya kushinda katika moja ya vipengele vya mashindano ya hayo ya Excel With Grand Malt.
 Mwanamuziki mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva,Joseph Haule a.k.a Profesa Jay akiwabagawisha mashabiki wake wa mkoani wa Kilimanjaro wakati wa Sherehe za Utoaji wa tuzo za Excel With Grand Malt,zilizofanyika kwenye viwanja vya Hindu Mandal,mjini Moshi.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...