Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa akionyesha mkoba wenye hotuba ya bajeti ya mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2012/13 leo mjini Dodoma kabla ya kuwasilisha.
Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13, Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma leo.
Wapiga picha wakigombea picha ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa wakati aliponyanyua mkoaba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2012

    I started wonder by self what is cooking on, because at first hand I was like wawooo here come again John Mashaka articles as I am very fond of it hence as I continue to read each and every paragraph I have discouvered poor gramar and force informations so therefore I am like no no nooo this couldn`t be the John Mashaka articles because of poor gramar and english. But however the person whoever has writen this articles is very smart if had polished her english gramar and follow its path of writing informations collectly nice. Thank you for my time and I was telling my truth, Job well done.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2012

    Aliye msafi awe wa kwanza kumrushia jiwe mwenzake... Mr Force information

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2012

    MDAU HAPO JUU, YOU MADE LOTS OF MISTAKES YOURSELF. HOW CAN YOU CORRECT SOMEONE ELSE'S MISTAKES?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...