Naitwa Happy Joseph miaka 30, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas USA,si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane.
Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;
happy-joseph@live.com


mdau happy ungetupia na picha zako ili wadau tuthaminishe bana, mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia nani anataka..!!!!!
ReplyDeleteNiache pombe kwa ajili yako? uu mtamu kuliko pombe?
ReplyDeletekalaghabao!
unapima ukimwi wa nini kwani unahisi umeukwaa nini? mtu anapima malalia akihisi ana malalia sasa wewe unahisi una ukimwi na unatafuta anaye hisi anaukimwi goodlucky in searching. I tell you expecting 0 output. hupati mtu
ReplyDeletembona hujibu emails sasa? Tushakutumia maombi..,
ReplyDelete