Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2012

    Maimuna

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2012

    hicho ni kiingilishi chetu wenyewe wabongo tatizo nini?,hatujakosea basi kwaataarifa yako hiyo ndio tanzanian english yetu finance inaandikwa kihivyo na hayo mengine kama yalivyo hapo vilevile.....we unataka kuwe na american english tu?sasa hivi watanzania tumeanza kuwa wabunifu na tunataka tukipandishe chati kiingilishi chetu kiwe kama cha america...kwani nini bwana wao waweze sie tushindwe tunanini?

    ReplyDelete
  3. daniel angetileJune 20, 2012

    fainence....
    consoltant....
    constraction....dah kweli kiingereza wito!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2012

    Mi wasi wasi wangu ni hiyo kazi tu...dah sijui nayo itafanyika kama hiyo Inglishi!...kwanza huyo contractor aliipata je....Jodwiser. Wazee wa Kinondoni nao hawaoni...Enginer wa Municiple!My God forgive us..!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2012

    Hii ni cawaida, check gazeti la Daily News nafikiri, nimesoma Tangazo la International organization, hiyo English. Hapa sinalo hilo gazeti nikilipata nitaliweka katika ukumbi. Kuna adverts kama mbili hazieleweki. What the big deal mradi message sent. HIVI NI NGONO UZEMBE AU NGONO ZEMBE. Maana hawa watakuwa Warundi maana kiswahili hawajui vilevile.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2012

    HAHAHAHA JAMANI, HVI MARA NGAPI WATU KISWAHILI TUNACHAPIA NA HAKUNA MTU ANAPIGA KELELE??? AMAKWELI MTUMWA NI MTUMWA TU.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 20, 2012

    Wed Jun 20, 07:48:00 PM 2012 Said Hii ni Cawaida< kiswahili tu tabu je kiengereza?

    Mdau wa Pili Kanena Watanzania wengi hupenda kuongea na kuandika hata tarehe kama Wamarekani hao wa-marekani wanaharibu Kiengereza nao kwahiyo waacheni Wa-Tanzania waandike Kiengereza chao. MXZ

    ReplyDelete
  8. Hiyo ni "Code Mixing"

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2012

    Message imeeeleweka.Kama kazi itafanyika kwa kiwango hakuna shida.mbona kuna taifa moja limendelea sana lakini wanapozungumza lugha ya kiingereza utasikia "zee" kila mwanzo wa sentensi wakiwa na maana "The".Tukosoane kiswahili lkn kiingereza ni lugha ya pili,ilimradi ujumbe umefika.Ndugu zetu akina Xi,Chu,Qui hawajali sana utasikia " do you sink so?what do you sink" lugha gongana kibao lakini mambo yao safi,wako juu.

    ReplyDelete
  10. ArchitectJune 21, 2012

    Huyo atakuwa Mkandarasi wa Kichina! Yaani huwa wanaboronga kiingereza,hata Kiswahili.lakini kwenye kazi wako ok! Lakini hii ni ishara mbaya kwa Wasimamizi( Municipal Engineer) Inaamana na yeye hajafika site hata mara moja!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 21, 2012

    Nshasema wabongo hupenda mambo ya ovyo. Kiingereza kibovu hicho kamusi yake i wapi? Ukiuliza utaambiwa 'inaeleweka'. Hicho kiswahili chenyewe tunakibananga. Ni kipi tunaweza kufanya vema?. Tujirekibishe jamani.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 21, 2012

    Acheni tuchape kazi bwana kama mngekua mnajua si mngepewa nyinyi kazi hii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...