Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa amepozi kwa picha na mgeni wake, Shabani Mbegu ambaye alifika katika Studio hizo kwa ajili ya kuandaa kipindi cha Chereko Chereko kitakachorushwa hewani siku ya jumapili tarahe 22-7-2012 kuanzia saa moja kamili jioni mpaka 7: 45 katika kituo cha Televisheni cha TBC. Kipindi hiki kitaanza kuonekana tena baada ya kusimama kwa kipindi cha mwaka mmoja na sasa kimerudi tena katika muonekano mpya baada ya kuboreshwa.
Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa amepozi katika Studio za 2BONDO'S PRODUCTIONS.
Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa katika mahojiano na mgeni wake Bwana Harusi, Shabani Mbegu katika Studio za 2BONDO's PRODUCTIONS.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2012

    Hongera Angela, usirudi nyuma songa mbele!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2012

    waoooh nampnd sn huyo mwanamama cz anajua kuendsha kipindi kinakuwa hakiboi na pia kinatuandaa vzr maharuc watarajiwa.mana uliondoka tukawa tunarudia tuuuuuu haruc hz hz jmn.nw kitakuwa poaaaa snnn tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...