MKUU WA MKOA WA LINDI,LUDOVICK MWANANZIRA AKIHUTUBIA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KINACHOENDELEA
BAADHI YA MADIWANI WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA WA LINDI KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI ''LIVE''
WANANCHI WILAYA YA KILWA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUHESABIWA TAREHE 26 AUG NA PIA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA MAONI YA KATIBA

WITO HUO UMETOLEWA PUNDE NA MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZIRA ALIPOKUWA AKIHUTUBIA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI
KINACHOENDELEA KATIKA UKUMBI WA JUMBA LA MAENDELEO CHINI YA UENYEKITI WA MHE FARIDA KIKOLEKA-MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2012

    Huyu mwandishi hapo anachukua picha mbona anaonekana hana nidhamu,huko vyuoni kwao hawafundishwi jinsi ya kusimama mbele za watu.Sasa hilo koti kiunoni ndo mtindo gani.kha!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2012

    Majority of Tanzanians do not have a permanent place to live(ILO, UNIDO & UNDP, 2002)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2012

    She goes 'shake it ... to madiwani! :) Moja ya kazi ni kuwafurahisha hadhira yake pia. Kwa hiyo mdau unayelalama uvaaji wa swete ni kamtindo tu ka kuvutia kazi yake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...