Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji,Mhe. Shamim Nyanduga akiingia ndani ya Ikulu ya Msumbiji huku akishindikizwa na Naibu Mkuu wa Itifaki, Msumbiji wakati alipofika kupeleka hati ya Utambulisho wake kwa Rais wa Nchini hiyo,Mhe. Armando Emilio Guebuza.
Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji,Mhe. Shamim Nyanduga akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Msumbiji Mhe. Armando Emilio Guebuza.
Mhe.Balozi Shamim Nyanduga na Naibu Mkuu wa Itifaki, Msumbiji wakiwa wamesimama wakati Wimbo wa Taifa (Tanzania) ukipigwa na nyuma yao.
Mhe.Aramndo E. Guebuza, Rais wa Msumbiji na Mhe. Balozi Shamim Nyanduga wakigonganisha glasi zao kama ishara ya kutakiana heri.
Rais wa Msumbiji,Mhe. Armando Emilio Guebuza na Mhe. Balozi. Shamim Nyanduga wakiwa kwenye picha ya Pamoja.
Hongera Shamim mwenyezi mungu akuongoze ktk kazi yako.
ReplyDeleteBalozi Nyanduga, hongera sana na umependeza sana.
ReplyDelete