Home
Unlabelled
Yanga yaichapa El-Salam Wau bao 7-1 uwanja wa taifa jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WAU timu ndogo sana hiyo,'KIBONDE'.Hakuna cha kushangilia hapo.
ReplyDeleteDavid V
Yanga bado wana safari ndefu mwaka huu. Kwa hakika wamewaokota vibonde na kukosa magoli kibao, haya saba mpaka dakika hizi za mwisho si kitu.Makosa mno mpaka Wau Salam wamepata goli.
ReplyDeletesesophy
Hii inaonesha yanga wako ugenini kutokana na huu ubao au unasomeka kiarabu!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHongereni wanayanga ila msivimbe vichwa maana hao jamaa ni vibonde wa mwaka huu kazeni buti mashindano ni magumu,big up yanga afrika
ReplyDeleteMagoli saba ni mengi na yanatosha sana hata km timu ni kibonde but na wao siwalikuwa 11 uwanjani ama? Ktk mpira wa miguu magoli saba ni idadi kubwa regardless how weak the opponent was. Hongera yanga
ReplyDeleteBila yondani wangetoka droo.
ReplyDeleteAma kweli Yanga imecheza na Wavuvi wa samaki!
ReplyDeleteAu ndio nini?, hii si kama Basketball au Netball?
cha kufurahisha katika magoli yote saba hakuna goli hata moja la matuta,kama ilivyo kwa baadhi ya timu ambazo bila matuta hakuna ushindi na wakati mwingine zinafunga hata matuta matatu kwa mechi moja
ReplyDelete