Muonekano wa banda la MeTL kwa nje ukionyesha wateja kadhaa wakitoka baada ya kujipatia mahitaji yao.
Mmoja wa wafanyakazi katika banda la kampuni ya Mohammed Enterprses Tanzania Limited (MeTL) akionyesha unga wa ‘Safi’ unaotengenezwa na kampuni hiyo.
Mafuta aina ya ‘Safi’ yanayopatikana katika banda la hilo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Maji safi ya kunywa aina ya ‘Maisha’ ambayo pia yapatikana kwa bei rahisi katika banda la MeTL kwenye maonyesho ya Sabasaba.
Vitengee, Khanga venye ubora navyo vinapatikana.
Moja ya Bango ndani ya banda hilo linaloonyesha shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    HONGERA METL KWA KUHUDUMIA UMMA, KUITSNGAZA NCHI NA KUTENGENEZA AJIRA. INSHALLAH MUNGU AKUPE NGUVU NA UWEZO ZAIDI. LABDA UJARIBU KUWEKEZA KWENYE SIMU NA MADINI ILI TUWE NA NGUVU YA MZAWA? HONGERA SANA MKUU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...