Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akiwasili katika Banda la Bunge kwenye viwanja vya Saba Saba leo.
Jaji Mkuu akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge.
Jaji Mkuu akikagua picha za Maspika waliowahi kuliongoza Bunge.
Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Mhe. Pius Msekwa (wa pili kutoka kulia) akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Bunge.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara wakipata maelezo kuhusu ushiriki wa Bunge katika Maonesho ya 36 ya Saba Saba.
Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara ikijadili jambo katika Banda la Bunge.
Baadhi ya wananchi wenye shahuku ya kulijua Bunge wakiuliza maswali na kupewa majibu.
Washiriki wa maonesho ya Saba saba wakitembelea banda la Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...