Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ramadhan kareem to all Michuzi wadaus.
ReplyDeleteMwezi huu ni mtukufu sana na unawapa binAdam wote sio waislam tu bali wote fursa ya kureflect on your life. Think of the very reason for your existence here. Its a month of self discipline, charity, prayers, forgiveness and tolerance.Nawaomba ndugu zangu wa dini nyingine wajaribu kufunga ingawa siku moja tu, as a form of submission to your creator and a way of trying to understand the difficulties of those less fortunate than you. Mungu awazidishie, Mungu awalinde.
Ramadhan Mubarak
Amiiiin Ramadhan Kareeeem!
ReplyDeleteMuwe mnaturushia na clips na you tubes za Quran ili tuweze kujinafasi zaidi.
Ahsante Libeneke kwa salam.
http://www.alhidaaya.com
ReplyDeleteKwa huyo ndugu aliyeuliza links,na kwa jamaa wote tembeleeni hiyo hapo juu. Namini Michuzi alitoa link hiyo kabla ya hapa. Ni nzuri na ina mambo mengi ya kusisimua, pia Quraan.Jamaa wasaidieni masheikh wetu kutumia laptops wajionee wenyewe miujiza.
Naomba nielimishwe, hivi kwanini wakati wa mfungo mtukufu bajeti ya chakula inakuwa kubwa kwa wanaofunga?
ReplyDeleteKwa wakristu ninachofahamu wakati wa kwaresma, wao wanajinyima baadhi ya mambo na hela watakayo serve wanatoa sadaka au kuwapa masikini.
Ramadan Kareem kwa wote. Kuwa family ya Kassim. Mansura, Hamida, Fazel, Khadija, Bimkumbwa, Mariam. Kwa family ya Ngazija, UK, Turkey na Canada.Mungu apokea dua zetu. Amen.
ReplyDeleteWakiristu kwa rezama wana jinyima na kutoa sadaka wewe acha wewe, na hao ni wakiristo wa aina gani tufahamisha, because wako wengi tu, wakatolik, wa anglican,walokole etc
ReplyDeletekwanza wanafunga inavyotakiwa hiyo kwaresma na kwa nini wawe wanatoa sadaka tu siku hiyo isiwe siku zinginewe, what you trying to say man
come out of kabadi usema ulichonacho rohoni japo kuwa nisakufanya zamani
mwana psychologia
jazakha Allah kheir issa michuzi kwa kutuweka hii kitu kwa siku yetu tukufu na nimependa sana comment za mdau wa mwanzo, mfungu huu wa ramadhan ni kweli wetu sisi waislamu lakin its for all human beings to experience its wajaribu waona wajifunzi wenzetu wasio waislamu, NYERERE mbona alikuwa anafunga alivyoambiwa awe karibu na mungu wakati wa kugombea uhuru na alifunga KIISLAMU SI KWARESMA NA KUFTARI NA WAISLAMU KAMA WAFANYAVYO.
ReplyDelete