Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Majuu mpo?

    Balozi mtoa Warsha itabidi kwa ushirikiano na Ankal Michuzi tukupangie World tour (North America,Europe, Far East-Japan, South Korea,Australia, South Africa na South America) uende ukatoe Seminar Series kwa ndugu zetu huko ambao matumani yao na nyumbani Tanzania yametoweka.

    Semina hii inawafaa sana wandugu zetu huko Majuu ambao daima hawaiamini kuwa Afrika na hususani Tanzania maisha au uwezekano wa kutoka hakuna!

    ReplyDelete
  2. WANDUGU MAJUU ,HASA MLIOKOSA MAKARATASI YA SHERIA HUKO RUDINI NYUMBANI KUNDINI MJE MLIME NA KUPAKUA ASALI!

    1.WEWE ABACHOLILE MITENGUZ ULIYEPO HUKO MJINI BOSTON MAREKANI,
    MBONA BI MKUBWA WAKO ALICHOMA VUTUMBUA ILALA SHARIFU SHAMBA DAR AKAKUSOMESHA?

    2.WEWE NDUNJE DITUNDU HUKO AMSTERDAM-HOLLAND MBONA DINGI WAKO ALIFANYA KAZI YA UNGARIBA NA KUKATA VIMEO AKAKUSOMESHA KIJIJINI NANDONDE-WEWALA?

    3.WEWE SIDE KOBA HUKO NAPOLI-ITALI, MBONA BI MKUBWA WAKO ALIKAANGA SAMAKI BARABARA YA 7 TANGA AKAKUSOMESHA?

    TOKEA MUONDOKE NYIE WASHIKAJI WATATU (3) HAPO JUU MIAKA ILE KITAMBO, SASA MNKARIBIA KUZEEKA NA HAKUNA MLICHOKIFANYA NYUMBANI NA HAMTAKI KURUDI BONGO?

    AFRIKA NA HASA TANZANIA KILA KITU CHINI YA JUA INAWEZEKANA!

    ReplyDelete
  3. Hahahahah Mdau wa wa Pili Anonymous wa Wed Aug 01, 07:49:00 AM 2012

    ....NDUNJE DITUNDU NI WA NANDONDE-NEWALA, MTWARA!!!....

    ReplyDelete
  4. Watu wa Majuu wanaiona Afrika ama Tanzania yetu kama msituni vile!!!

    Pana Mdau alisafiri kwenda Australia katika Mkutano aliwakuta Wabongo wamejikunyata kwa kujifunga na mablangeti pembeni ya barabara wakijikinga na baridi, lakini alipoongea nao wakatoa shida yao akawacheki kwa chochote na pamoja na shida walizonazo huko alipowagusia kuhusu kurudi Bongo Loh loh loh waliogopa sana!

    ReplyDelete
  5. Mwandishi amesahau kujitambulisha

    ReplyDelete
  6. Mdau @ Wed Aug 01, 07:49:00 AM 2012

    Sina uhakika kama ni chuki binafsi au ukosefu wa kufikiria, kama hao jamaa watatu ni washikaji zako, basi mngewasiliana wenyewe and mmalize tofauti zenu, sio kila mtu hapo bongo ame "panchi", wapo pia watu choka mbaya, mamtoni kadhalika.

    ReplyDelete
  7. Je, ni Guest of Honors au Guests of Honor ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...