Muasisi wa Taasisi ya Jane Goodall, Dk Jane Goodall (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga Cement (TPCC),Pascal Lesoinne wakitembelea kitalu cha miti wakati wa halfa ya uzinduzi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Twiga Cement (TPCC) wakimwangalia mwanaserere sokwe wa Dk Jane Goodall wakati wa uzinduzi rasmi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo, uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Boko na ambaye pia ni mwanachama wa Roots and Shoots akipanda mti wakati wa halfa ya uzinduzi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni ya Twiga Cement (TPCC) uliofanyika Wazo Hill, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Twiga Cement, Ekwabi Majigo (kulia) na Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari za Boko na Maendeleo, wakati wa uzinduzi rasmi wa mradi wa miti wa kukarabati na kuasilisha machimbo ya saruji ya kampuni hiyo, uliofanyika Wazo Hill,nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Muasisi wa Taasisi ya Jane Goodall, Dk Jane Goodall (wa nne kushoto, waliosimama), Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne (kushoto kwake) na Meneja Mazingira wa kampuni hiyo, Juliet Mboneko (wa sita kushoto) wakipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Twiga Cement katika halfa ya uzinduzi wa mradi huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...