Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    Benki zote ni uhuni mtupu! Bora tuweke hela kwenye magodoro.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2012

    In the past five yrs jamaa amechukua bonus ya zaidi £100millions hapo bado mshahara na posho za vikao,big fat cat,ni bank nyingi kama hizi za dunia ya kwanza hivi za nyumbani je??moja wapo ni CRDB ni wezi watupu wanachaji online banking wakati sijawahi tumia na inawasave muda wao kufika ktk branch,huu ni wizi mtupu,wapi umeona CRDB wanatangaza kazi?hakuna sehemu wanatangaza kazi ni wanatangaziana kiundugu tu ndani kwa ndani,hii ni mbaya kwa wenye hisa.

    Ni yule yule mdau wenu
    Duke wa kimbiji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...