Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka (katikati) akiingia kwenye ukumbi wa Hyatt Kilimanjaro hotel, katika hafla ya kutia saini mikataba ya mikopo kati ya taasisi tisa fedha na Shirika la Nyumba la Taifa, kulia ni Mwenyekiti wa Bodi wa NHC Mhandisi Kesogukewele Msita, na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC Ndg. Nehemia K. Mchechu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Benki Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC Ndg. Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa halfa ya kutia saini mikataba ya mikopo kati ya taasisi tisa za fedhana Shirika la Nyumba la Taifa.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Tanzania, Ndg. Nehemiah Mchechu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC, Ndg.Boniface Nyoni wakitia saini ya makubaliano kutoa mikopo kati ya benki yake na Shirika la Nyumba la Taifa .Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka , Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Maria Bilia na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba ,Mhandisi Kesogukewele Msita. Hafla hii ilifanyika kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Hotel, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Tanzania, Ndg. Nehemiah Mchechu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa CBA, Ndg. Yohanne Kaduma wakitiliana saini ya makubaliano kutoa mikopo kati ya benki yake na Shirika la Nyumba la Taifa .Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka , Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maria Bilia na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba ,Mhandisi Kesogukewele Msita. Hafla hii imefanyika kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania, Ndg. Nehemiah Mchechu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dr. Charles Kimei wakitia saini ya makubaliano kutoa mikopo kati ya benki yake na Shirika la Nyumba la Taifa .Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka , Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maria Bilia na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba ,MhandisiKesogukewele Msita. Hafla hii imefanyika kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania, Ndg. Nehemiah Mchechu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Ndg. Eliudi Sanga wakitia saini ya makubaliano kutoa mikopo kati ya Taasisi yake na Shirika la Nyumba la Taifa .Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka , Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maria Bilia na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba ,MhandisiKesogukewele Msita. Hafla hii imefanyika kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania, Ndg. Nehemiah Mchechu akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Ndg. Eliudi Sanga mkataba wa makubaliano kutoa mikopo kati ya taasisi yake na Shirika la Nyumba la Taifa .Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka , pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maria Bilia na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba ,Mhandisi Kesogukewele Msita. Hafla hii imefanyika kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Tanzania, Ndg. Nehemiah Mchechu pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shelter Afrique, Ndg. Alassane Ba wakitiliana saini ya makubaliano kutoa mikopo kati ya benki yake na Shirika la Nyumba la Taifa .Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka , Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Bi. Maria Bilia na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba ,Mhandisi Kesogukewele Msita. Hafla hii imefanyika kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, kushoto ni Prof. Tumsifu Nnkya na Bi. Shally Raymond wakati wa halfa ya kutia saini mikataba ya mikopo kati ya taasisi tisa za fedhana Shirika la Nyumba la Taifa.

kwa taarifa zaidi za Shirika la Nyumba la Taifa,Tembelea Tovuti yao kwa Kubofya Hapa au Ukurasa wao katika mtandao wa Kijamii wa Facebook kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...