Home
Unlabelled
heart warmer in morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zebedayo, Dada zetu wa kibongo mpooo. Jamani igeni mifano ya kiutu kama hii, huyu dada wa kizungu ni bomba tena safi na hana manywele ya bandia na manguo ya gharama na hapo mzungu hana noma ,anaweza kumchukua huyo kilema wakaoana-hawa watu wana mapenzi ya kweli,siyo nyie mnaotoa matangazo humu kwamba natafuta mchumba lakini lazima awe na masters, ovyoooo !!! eti tuko majuu. Aliyeko juu mgoje chini,mtashuka tu,na huko juu cha moto mnakiona. Zebedayo wa bongo ni peponi.
ReplyDeleteMost commendable I must say, but lets face it,If this man was helped by Mwajuma or Asha Makonde sifikiri jamaa angepiga picha na kuitia kwenye blog.Msidharau wasichana wetu.
ReplyDelete"Aliye juu mngoje chini", huu usemi umepitwa na wakati kabisa, twendeni na wakati.
ReplyDelete1, Aliye juu, mfuate huko juu ujiunge nae.
2,Aliye juu, mtungue jiwe aanguke halafu wewe upande juu.
3, Aliye juu, pengine mabange yake tu, hayupo cha juu wala nini.
Safi sana.
ReplyDeleteKumsaidia mtu hakuna utaifa wala rangi mara nyingi ni moyo wa mtu.
halafu huyu msicha wa kizungu hana noma kabisaaa, suruali yake hiyo haizidi elfu 7 t-shirt hiyo ni chagulaga hapo Kariakoo shillingi 500,kiatu hicho kiko karibia ya kutoboka -lakini bado anapiga nacho kwata. Dada zetu hawa wao ni macho juu juu tu na kutafuta wanaume wenye nazo tu ,au mwenye karatasi imechorwa ( Masters )Huyu dada wa kizungu hana dhahabu shingoni wala mkononi na hana hata saa. Yaani simple ile mbaya. Na wewe unayetushauri tuoe Wazanzibar,acha kampeni zako hizo,kama una dada unatafuta aletwe UK basi imekula kwako. Madada wa kizenji kazi zao ni moja tu ,kujiremba, ukimuoa basi hakikisha unamuwekea mtumishi wa ndani, yaani wao kutuma, Banyani kasingiziwa, wao hina, wanja ,mpaka ndani ya viganja,sasa hiyo kazi atafanya saa ngapi ??? saa zote yeye udi na manukato na nyimbo za rusha roho. Zebedayo msema kweli.
ReplyDeletewewe zebedayo angalia hiyo post mwanamke ameenda kuangalia mpira mnampiga na kumuibia wakati wanaume wote wanaaangalia kisa mwanamke hiyo nayo unasemaje mna maroho ya ukatili nyinyi wanaume
ReplyDeleteTrue inferiority complex of a black man. Always admiring white people. It is true if this was Asha no one would notice. To the bongo flava generation, this is what Nyerere called Kasumba. Look at our wasanii's names. Love yourself. Black, African, Tanzanian is just as beautiful. The cute white girl did a good thing, whether we need to know about it and see it is highly suspicious.
ReplyDeleteAnonymous @ 06:57:00 AM. You could not have worded it better, we need to empancipate ourselves from mental slavery, the colonialist implanted the mentality that we are no good for nothing, everything white is good, they repeated it so often(still doing it now), and some of the Africans tend to believe it, angekuwa binti mzawa amemsaidia huyo mlemavu wale hata tusingejua, at best angeambiwa anajikomba!
ReplyDeletezebedayo mpenda sifa huna ishu, unasemaje kuhusu yule mama aliyedhalilishwa uwanja wa taifa na wanaume? alikosa nini yule mama? yule si sawa na mamako lakini? mbona pale hujasema kitu umeuchuna unakuja huku kuongea upuuzi ambao hauna tija! hapa ni mzungu kamsaidia mlemavu ni, ningekuwa mimi wala wasingepiga picha. sioni cha ajabu hapo, dizain na wewe unashobokea wazungu kiaina ingwa kila siku upo huku ndani kuwaponda wao na nchi zao zenye maendeleo yaliyotukuka.
ReplyDeleteSikizeni niwaambie ukweli kuhusu hii pic, mimi nilikuwa uwanja wa Jamhuri kulikuwa na mechi kati ya Mtibwa na Yanga.Huyo mdosho alikula lifti unajua uwanjani ukimsukuma kilema unaingia bure. Hao wadosho wamepinda hapa town ni mavolunteer na wanaishi kwenye vijihotel vyenye hostel za kulala wanne hadi sita kwenye hol. Hivi unafikiri mdosho mwenye mawe hata utamkuta uswazi kwanza afanze nini! acheni hizo nyie.......
ReplyDelete@ zebedayo huyu ni mzungu mchovu tu kama ambavyo kuna watz/waafrica wachovu! kama angekuwa na hela angepiga pamba safi na tanzanite shingoni si tunawaona upanga/masaki etc.. suala la kuvaa vitu expensive au not halina uzungu wala uafrica ni hulka tu ya mtu! kuhusu hizo nywele bandia kwa taarifa yako hata wazumgu ni wadau wazuri wa hizo nywele bandia sema yeye akuweka siyo rahisi kugundua!
ReplyDeletehalafu nani ka kwambia kuwa huyu mlemavu na mzungu ni mme na mke?! vilivile acha kutupia lawama kwa mabinti wa kitanzania siyo watu ni wabaya kama ambayo wao wadada wa wazungu ambavyo siyo wote wazuri.
tafakari.
daima ngozi nyeupe inabudiwa ndo maana anachokifanya mzungu wote tunatakiwa tukiige wee zebedayo acha ujingu wee ALIYE JUU MFUATE KULE KULE JUU NA AKISHUKA WEWE PANDA KAMA UTAWEZA KWA NI RIZIKI INATOLEWA NA MAAULANA.
ReplyDeleteNA KOMA UKOMAYE HUNA UBAVU WA KUOWA MZANZIBARI WEWE KWANZA SI HADHI YAKO MWANAMKE UA NA NDO MAANA KILA LEO WANAWAKE WA KIZANZIBARI WANA NUKIA NA KUNGARA NGARA HAWANUKI SHOMBO LA UVUNDA NDO MAANA HUWAWEZI NA ANAPOFANYA KAZI ANAFANYA KAZI YA UHAKIKA NA PESA NI ZAKE NA MUME ANALETEA ZINGINEWE SO USIDHANI UKIMUOWA PESA AKUPE WEWE HA HA HA KALAKE MBELE WEE NA VIKAVIRONDO WENZAKO NA UWAONEE HAO HAO WABARA WENZAKO SI MWANAMKE MZANZIBARI YEYE ANATAKA HADHI NA STAA SIYO KUZALISWA BURE BILA KUOLEWA
NA CHA PILI NENDA SCHOOL KIDOGO UFUTE UJINGA NA UMANDE ULIO GANDA KATIKA KICHWA CHAKO USITULETE DOMO KAYA HAPA CHADOMOOOOOOOOOOOOO MKUBWA