Mtoto IRENE PHILIBERT NDAKI akikata keki katika hafla yake ya kutimiza miaka kumi ya kuzaliwa,hafla hiyo ilifanyika nyumba kwa babu yake mzee Henry Karlo huko  ujenzi, Kasulu mjini, Kigoma
 IRENE PHILIBERT NDAKI akilishwa kipande cha keki na bibi yake katika hafla ya kutimiza miaka kumi iliyo fanyika nyumbani kwa babu yake mzee Henry Karlo,  Ujenzi,  Kasulu mjini

Mtoto IRENE PHILBERT NDAKI akilishwa kipande cha keki na babu yake Mzee Henry Karlo katika halfa ya kutimiza miaka kumi ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwa babu yake ujenzi kasulu mjini. Picha na mdau Editha Karlo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2012

    Mzee T-Shirt yake inaitwa FBI academy!!! ha ha haaa!!!
    HBD mjukuu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2012

    Bibi, kitenge safi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2012

    EEEEHHHH Kigoma mpo,hata kasulu we acha tu.

    Shikamoni wazee ni mimi Kayanda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...