Mtoto IRENE PHILIBERT NDAKI akikata keki katika hafla yake ya kutimiza miaka kumi ya kuzaliwa,hafla hiyo ilifanyika nyumba kwa babu yake mzee Henry Karlo huko ujenzi, Kasulu mjini, Kigoma
IRENE PHILIBERT NDAKI akilishwa kipande cha keki na bibi yake katika hafla ya kutimiza miaka kumi iliyo fanyika nyumbani kwa babu yake mzee Henry Karlo, Ujenzi, Kasulu mjini
Mtoto IRENE PHILBERT NDAKI akilishwa kipande cha keki na babu yake Mzee Henry Karlo katika halfa ya kutimiza miaka kumi ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwa babu yake ujenzi kasulu mjini. Picha na mdau Editha Karlo
Mzee T-Shirt yake inaitwa FBI academy!!! ha ha haaa!!!
ReplyDeleteHBD mjukuu.
Bibi, kitenge safi!
ReplyDeleteEEEEHHHH Kigoma mpo,hata kasulu we acha tu.
ReplyDeleteShikamoni wazee ni mimi Kayanda