Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2012

    Sasa waandalizi wa mbio za Kilimanjaro ndio walipaswa kuongea na huyu msela. Jamaa yuko juu. Pia anaweza kuyatangaza mashindano freshi tu. U also need to liaise with the ministerial tourism promotion team.

    Pia chekini na Mark Bomani ili amkaribishe Shaggy (chief wa Kisukuma). Shaggy anaweza kualika masela wake pia.

    Namna hiyo na mbio zinapata umaarufu zaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2012

    sasa huyu anaepiga makelele wakati watu wanasalimiana na kuongea ana nia gani?ndio furaha? utovu wa nidhamu?na hawa waliovaa mishuka nao ndio nini?ndio utamaduni wa kitanzania?wananikera hawa we acha tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2012

    Dizaini mmetuaibisha. Ndio tulivyo hivyo, yaani mtu unaweza kuibuka tu mtaani mara ghafla wamasai wanakurukia rukia na kufoka foka? Jamaa hadi wameogopa. Halafu kila kitu kinaenda fasta fasta tu utadhani mgeni anakufa baada ya masaa mawili. Muelewesheni kwanza mambo kisha ndio mfanye na sio kumshtukiza shtukiza au kama vile amekuja kwa mganga wa kienyeji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...