Katibu tawala msaidizi utawala na utumishi wa mkoa wa Ruvuma Humprey Paya kushoto akiagana na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa mjini songea.
Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akisalimiana na kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma Deusidedit Nsimeki mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja mkoani Ruvuma.
Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Ruvuma Abdala Lutavi akiagana na Rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa mjini Songea.
Rais mstaafu Benjamin Mkapa akiagana na mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Afisa Mwambungu katika uwanja wa ndege songea mara baada ya kumaliza ziara ya siku moja mkoani Ruvuma ambapo alikwenda wilayani mbinga kuhudhuria sherehe ya jubilei.PICHA NA MUHIDIN AMRI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...