Home
Unlabelled
jamaa wakipiga stori juu ya paa la nyumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii ni kawaida kwani wakati mwingine maskani zinarusha stimu
ReplyDeleteLabda walikuwa wakirekebisha antenna maana mstimu na waya uko pembeni yao.
ReplyDeleteRecreational.
ReplyDeleteAu walikuwa wanadhibiti wavamizi wa privacy.
Au wanapanga njama, baada ya hapo unasikia mahala fulani pamezuka tafrani.
Au wamepandishwa bila kujijua, mambo ya Tanga mimi siyataki jamani.
Hawa jamaa hawapigi stori,bali hii ni mbinu ya kuwapiga chabo majirani wenye choo cha pasipoti size
ReplyDeleteWanatabiri mafuriko Tanga.
ReplyDeletejamni wabongo kwa maneno,,mimi nafikiri aliyebahtisha kusema ukweli ni mdau aliyesema labda walikuwa wanageuza antena..ha ha eti walipandishwa
ReplyDeleteInawezekana umeme umekatika ndani joto, sasa hapo wanapata upepo ule unaitwa mwanana, ila swala la chabo nalo lipo.
ReplyDeleteMimi sijui walikuwa wanawaza nini......tehe tehe!!!!
ReplyDeleteEeeh mambo ya "Tanga Kunani" mwaweza kaa fikiri ni watu hao kumbe ni watu kumbe "viini watu"...Haya shaurizenu:-)
ReplyDeletechezea mirungi(gomba) wewe!
ReplyDelete