Jamaa wakiwa wamekula pozi matata sana juu ya paa na nyumba maeneo ya Chumbageni,Jijini Tanga huku wakipiga stori.sasa sijui waliwaza nini mpaka wakaamua kupanga huko??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2012

    hii ni kawaida kwani wakati mwingine maskani zinarusha stimu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2012

    Labda walikuwa wakirekebisha antenna maana mstimu na waya uko pembeni yao.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2012

    Recreational.

    Au walikuwa wanadhibiti wavamizi wa privacy.

    Au wanapanga njama, baada ya hapo unasikia mahala fulani pamezuka tafrani.

    Au wamepandishwa bila kujijua, mambo ya Tanga mimi siyataki jamani.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2012

    Hawa jamaa hawapigi stori,bali hii ni mbinu ya kuwapiga chabo majirani wenye choo cha pasipoti size

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2012

    Wanatabiri mafuriko Tanga.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2012

    jamni wabongo kwa maneno,,mimi nafikiri aliyebahtisha kusema ukweli ni mdau aliyesema labda walikuwa wanageuza antena..ha ha eti walipandishwa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2012

    Inawezekana umeme umekatika ndani joto, sasa hapo wanapata upepo ule unaitwa mwanana, ila swala la chabo nalo lipo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2012

    Mimi sijui walikuwa wanawaza nini......tehe tehe!!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 08, 2012

    Eeeh mambo ya "Tanga Kunani" mwaweza kaa fikiri ni watu hao kumbe ni watu kumbe "viini watu"...Haya shaurizenu:-)

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 08, 2012

    chezea mirungi(gomba) wewe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...