Neema Herbalist ni wauzaji wa dawa asilia. Tunayo dawa safi ya kukata kitambi, haijachanganywa na kemikali yoyote wala haina side effect.
Tunapatikana Changanyikeni karibu na chuo cha Takwimu. Bei ni Tsh 40,000 tu.
Piga simu 0767 010756 au 0753 644583.
Kwa maelezo zaidi kuhusu dawa huduma zetu, tembelea www.neemaherbalist.blogspot.com
DAWA YA KUMALIZA KITAMBI NI HII,FANYA MAZOEZI LABDA KUTEMBEA KILA SIKU DK 20 NA KULA CHAKULA KIDOGO,MBOGA KWA WINGI NA MATUNDA,BAADA YA MIEZI MICHACHE WEWE MWENYEWE UTASHANGAA.HIZI DAWA UNAWEZA KUNYWA UKAPATA HEART ATTACK UKAFA.
ReplyDeletewe sema wasira sio kuzunguka kama tairi ya gari
ReplyDeletendugu zangu tujue kwanza kitambi ni nini kabla yakuamini kuwa dawa hii ni inaweza kukata kitambi bila kuwa na 'side effect'
ReplyDeleteDawa ya kitambi ni mazoezi na kupunguza vyakula vyenye 'carbohydrates na mafuta'
Ankal hiyo picha hapo ya mtu mwenye kitambi lakini kichwa chake kaioonekani naona utakuwa ni wewe hapo!,,,wewe ni mmojawapo unatakiwa ununue hiyo dawa,,,au siyo?
ReplyDelete