Neema Herbalist ni wauzaji wa dawa asilia. Tunayo dawa safi ya kukata kitambi, haijachanganywa na kemikali yoyote wala haina side effect.

Tunapatikana Changanyikeni karibu na chuo cha Takwimu. Bei ni Tsh 40,000 tu. Piga simu 0767 010756 au 0753 644583.


Kwa maelezo zaidi kuhusu dawa huduma zetu, tembelea www.neemaherbalist.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2012

    DAWA YA KUMALIZA KITAMBI NI HII,FANYA MAZOEZI LABDA KUTEMBEA KILA SIKU DK 20 NA KULA CHAKULA KIDOGO,MBOGA KWA WINGI NA MATUNDA,BAADA YA MIEZI MICHACHE WEWE MWENYEWE UTASHANGAA.HIZI DAWA UNAWEZA KUNYWA UKAPATA HEART ATTACK UKAFA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2012

    we sema wasira sio kuzunguka kama tairi ya gari

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2012

    ndugu zangu tujue kwanza kitambi ni nini kabla yakuamini kuwa dawa hii ni inaweza kukata kitambi bila kuwa na 'side effect'

    Dawa ya kitambi ni mazoezi na kupunguza vyakula vyenye 'carbohydrates na mafuta'

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2012

    Ankal hiyo picha hapo ya mtu mwenye kitambi lakini kichwa chake kaioonekani naona utakuwa ni wewe hapo!,,,wewe ni mmojawapo unatakiwa ununue hiyo dawa,,,au siyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...