Hii ndio sababu eneo hili la Kibaha, Mkoa wa Pwani, 
linajulikana kwa jina hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2012

    Picha tui-crop ibaki sanamu ya ndege tu.Matangazo mengine tuwaachie simba na Yanga(Mwezi mtukufu huu au siyo Ankal na timu yako??)

    David V

    ReplyDelete
  2. Inapendeza sana kujuwa asili ya majina ya baadhi za sehemu katika maeneo tuishimo yametokana na nini au chanzo gani kama hilo eneo la PICHA YA NDEGE-KIBAHA linavyojieleza hapo.

    Nakumbuka pia kuna sehemu inaitwa 'TANGI BOVU'- DAR, sijuwi kama na hilo TANGI lenyewe lingalipo hadi leo hii au limeshatolewa, napo paliitwa hivyo kutokana na hilo tangi kuwepo juu ya muhimili wake , ihali ya kuwa kimatumizi lilikuwa halifai a.k.a. BOVU. Khatma yake ndio hivyo tena TANGI BOVU mpaka leo hii.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2012

    Michuzi hapo home umeaua kinoommer!! LOL

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2012

    Jamani hii ni picha au sanamu? Au sanamu na picha yana maana sawa?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2012

    TBL wanatakiwa wamlipe mwenye hiyo picha maana wanatumia jina lake.
    Tank lishatolewa limebaki jina tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2012

    Pia asili ya jina KAWE ni neno la kiingereza linalomaanisha njia ya ngómbe yaani cow way, ilikuwa ni njia ya kupitisha ngoómbe kuwapeleka pale Tanganyika packers kwa ajili ya kuwachinja

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2012

    Picha hiyo ya ndege ipo hapo siku nyingi mimi binafsi niliiona tokea mwaka 1989 kama sikosei, sijui huyu mtu alianza kupachika hilo sanamu lini. Picha hilo huwa linaboreshwa, tena nlikuwa mwanafunzi nikipita navutiwa kweli kuiona sanamu lile la ndege limetundikwa juu. enzi za mabasi ya coaster dar to moro, nikifika hapo tu najua sasa nakaribia kabisaa kufika dsm.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...