Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2012

    nawasifu kwa kuwa na kitabu chenu amazon kama e-book ila sasa hapa kwetu mbona mnakiuza katika maduka ambayo sio ya vitabu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2012

    hongera mwanakijiji

    pale mliman city kuna duka la vitabu, kwanini hiki kitabu kisiuzwe humo bali kiuzwe katika boutique?

    Ni mtazamo tu.

    Ignorant

    ReplyDelete
  3. Nimemaliza kusoma nakala yangu, nimebakia 'speechless'! Tangu nianza kusoma sikuweza kuachilia ukurasa hata mmoja... the ending was dramatic and unpredictable! Kama kuna kitabu cha riwaya cha kusoma mwaka huu basi ndiyo hiki..!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2012

    bei tuuu.utapata wasomaji wachache mwaya. sasa nani atavutiwa na kusoma kitabu kama bei ni sawa na kilo tatu za nyama kariakoo. chagua, kitabu ushinde na njaa siku au kitoweo kilo tatu kariakoo sokoni.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2012

    Mdau hapa wanaangalia "target audience" au wanunuzi/walengwa wanapatikana wapi. Si ajabu watu wengi waliolengwa wanapatikana kwenye "maboutique" na siyo kwenye maduka ya vitabu. Wengine wetu walichoma vitabu baada ya kumaliza kidato cha nne na form six.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...