Home
Unlabelled
KITABU CHA "MAJERUHI WA MAPENZI" SASA KIPO MADUKANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nawasifu kwa kuwa na kitabu chenu amazon kama e-book ila sasa hapa kwetu mbona mnakiuza katika maduka ambayo sio ya vitabu?
ReplyDeletehongera mwanakijiji
ReplyDeletepale mliman city kuna duka la vitabu, kwanini hiki kitabu kisiuzwe humo bali kiuzwe katika boutique?
Ni mtazamo tu.
Ignorant
Nimemaliza kusoma nakala yangu, nimebakia 'speechless'! Tangu nianza kusoma sikuweza kuachilia ukurasa hata mmoja... the ending was dramatic and unpredictable! Kama kuna kitabu cha riwaya cha kusoma mwaka huu basi ndiyo hiki..!!
ReplyDeletebei tuuu.utapata wasomaji wachache mwaya. sasa nani atavutiwa na kusoma kitabu kama bei ni sawa na kilo tatu za nyama kariakoo. chagua, kitabu ushinde na njaa siku au kitoweo kilo tatu kariakoo sokoni.
ReplyDeleteMdau hapa wanaangalia "target audience" au wanunuzi/walengwa wanapatikana wapi. Si ajabu watu wengi waliolengwa wanapatikana kwenye "maboutique" na siyo kwenye maduka ya vitabu. Wengine wetu walichoma vitabu baada ya kumaliza kidato cha nne na form six.
ReplyDelete