Kongamano la Katiba ambalo limeratibiwa na Umoja wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania (TAHLISO),Limefanyika leo katika Ukumbi wa Karimejee,Jijini Dar es Salaam.Pichani ni Mwenyekiti wa TAHLISO,Ndugu Paul Makonda akikaribisha rasmi wageni waliohudhula kongamano hilo la katiba.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba,Deus Kibamba akitoa mada kwa vijana wa vyuo vikuu.
Viongozi wa vyuo mbali mbali wakifuatilia kwa makini hoja za msingi.
Vijana wakisikiliza kwa makini.
Wanasikiliza kwa makini but huyo mmoja hapo yupo busy na simu au ndomwanahabari? huku niliko kuna maeneo au mikutano ukienda unazima cmu. Cjui Tz?
ReplyDelete