Kongamano la Katiba ambalo limeratibiwa na Umoja wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania (TAHLISO),ukumbi wa Karimejee jijini Dar es salaam leo. Juu ni Mwenyekiti wa TAHLISO,Ndugu Paul Makonda akikaribisha rasmi wageni waliohudhuria kongamano hilo la katiba.
Viongozi wa vyuo mbali mbali wakifuatilia kwa makini hoja za msingi.
Vijana wakisikiliza kwa makini.
Vijana wakisikiliza
Deus Kibamba ,Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba akitoa mada kwa vijana wa vyuo vikuu. Picha na mdau Adam Mzee
CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
ReplyDeletePeople's Powerrrrrrrr!!!