MAREHEMU SOPHIA MATHEW MCHALUMBI
Familia ya Mrs. Janeth Mchalumbi wa Ipuli Tabora, leo tarehe 19.07.2012 inakumbuka miaka miwili ya kifo cha mtoto wao mpendwa SOPHIA MATHEW MCHALUMBI.
Unakumbukwa daima kwa upendo, heshima na upole wako.
Vilivile unakumbukwa na Mama yako mzazi Janeth Mchalumbi, mtoto wako Dismas, dada yako Mariam,kaka yako Geofrey, wadogo zako Kafuku, Christopher, Rhoda,familia ya Mchalumbi na Masanja, Ndugu,Marafiki,Majirani na Wafanyakazi wenzako.
Sisi tulikupenda, lakini MUNGU amekupenda zaidi.
Pumzika kwa amani Sophia Eli Mchalumbi Unakumbukwa nami baba yako mdogo
ReplyDeleteElikana Moses Masanja
RIP Our dear Sophia E. Mchalumbi! Tunamiss upole, ukarimu na ucheshi wako. Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi.
ReplyDeleteMr & Mrs Michael Msuya (Pendo & Michael) - MBEYA.
Oh, so sad!
ReplyDeleteMungu awape faraja familia ya Mchalumbi kwa pengo mlobaki nalo!
ROSE KASU!