Mchezaji wa Timu ya Simba,Shomari Kapombe akitoa pamde kwa uhodari mkubwa mbele ya Beki wa Timu ya Ports FC,Jean Paul wakati wa mechi yao iliyopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni raundi ya pili ya Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame.Simba imeshinda Bao 3-0.
 Beki wa Timu ya Simba,Mude Mussa akiwania mpira wa Juu wa Mchezaji wa Timu ya Ports FC,Ronald Ayuk wakati wa Mchezo wao wa Mashondano ya Kombe la Cecafa Kagame uliopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.Simba imeshinda Bao 3-0.
 Shomari Kapombe wa Simba akikatisha katikati ya Mabeki wa Ports FC.
Unapozidiwa ujanja na mwenzio basi ni lazima uwe na mbadala wake,na ndinvyo ilivyokuwa hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...