BABY ANGELLA MNTANGI (MAMA JOHN)
04/11/1972 – 24/07/2006
Ni miaka sita (6) sasa tangu ulipotutoka kimwili lakini tunaamini kuwa kiroho bado uko nasi.
Unakumbukwa na mwanao mpendwa John, mama yako, wadogo zako, mama yako mkubwa na mama zako wadogo, kaka zako ndungu jamaa na marafiki.
Tulikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaidi.
Mwenyezi Mungu akujalie pumziko la amani dada mpendwa. Amina.
ReplyDeleteTunakukumbuka kwa upendo na wema wako, pia kwa kujiamini na kuwatia moyo wadogo zako.
Pole John na wengine wote.