Home
Unlabelled
kutoka maktaba: JK akiwa na majenerali uwanja wa taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kumradhi muandishi sahihisho Jakaya MRISHO ahsante
ReplyDeletejamaa kweli mtunzaji, hili shati mpaka sasa hivi analo. Just like Michuzi's the fulana...
ReplyDeleteJK ametoka mbali.Ni strategist mzuri sana kutoka nafasi ya kushuhudia na kushuhudiwa na vikosi katika magwaride.
ReplyDeleteJenerali MIRISHO SARAKIKYA ndiyo jina sahihi.
ReplyDeleteJK Mjanja sana alianza kuusaka Uraisi siku nyingi kwa kujiweka karibu na watu walio au waliowahi kuwa muhimu katika jamii.
ReplyDeletehakuna mwembamba duniani shati la siku nyingi mwaka gani huo
ReplyDeleteIla hajapiga kelele majukwaani na kuandamana, kutembelea vituo vya polisi na kesi za wanawake kila kukicha
ReplyDelete